CHRIST CENTRED ni Redio ya Mtandaoni ya kikristo inayoeneza Injili kwa lugha ya Kiswahili kutoka Dar es salaam Tanzania Chini ya Huduma ya Christ Centred Ministry. Redio hii imejikita kuzifunua ahadi za Mungu, kuamsha imani na kuwatia moyo wale waliokosa tumaini Kupitia Vipindi vya Faraja katika neno la Mungu, Ushauri na Maombi na Maombezi. Unahisi Kupungukiwa nguvu za Kuendelea mbele, Sikiliza Redio hii, Ni Faraja kwa wale wenye maumivu ya Moyo, Imani kidogo yatosha kukuvusha.

  1. Статус

    Ожидаем данные станции

Похожие станции

Контакты радиостанции

Адрес
Mbezi Beach
Телефон
+255743050272
Вебсайт
christcentred.co.tz
Email
hopeliving481@gmail.com
WhatsApp
@255743050272
Facebook
@profile.php
Instagram
@christcentred8
YouTube
@christcentredgosple