Asante kwa kuchagua kusikiliza Radio Juhudi, sauti ya matumaini chini ya Kanisa la Ukweli Mbeya, Tanzania. Read more

  1. Status

    Waiting for station data

Similar stations

About the station

Hapa tunakuletea mafundisho ya Kikristo, nyimbo za kumtukuza Mungu, mafundisho yanayojenga maisha ya kiroho, na mahubiri ya kuinua roho yako. Unaweza kutusikiliza popote ulipo kupitia ukurasa wetu wa kusikiliza mtandaoni pamoja na programu ya simu. Endelea kuwa nasi upokee ujumbe wa faraja, uponyaji na mabadiliko ya kiroho. Radio Juhudi — Mwanga wako katika safari ya imani.