Asante kwa kuchagua kusikiliza Radio Juhudi, sauti ya matumaini chini ya Kanisa la Ukweli Mbeya, Tanzania. Подробнее

  1. Статус

    Ожидаем данные станции

Похожие станции

О станции

Hapa tunakuletea mafundisho ya Kikristo, nyimbo za kumtukuza Mungu, mafundisho yanayojenga maisha ya kiroho, na mahubiri ya kuinua roho yako. Unaweza kutusikiliza popote ulipo kupitia ukurasa wetu wa kusikiliza mtandaoni pamoja na programu ya simu. Endelea kuwa nasi upokee ujumbe wa faraja, uponyaji na mabadiliko ya kiroho. Radio Juhudi — Mwanga wako katika safari ya imani.

Контакты радиостанции

Телефон
+255757613476
Вебсайт
radiojuhudi.radio12345.com
Email
mchungajishujaa2023@gmail.com
WhatsApp
@255757613476
Facebook
@profile.php
Instagram
@kanisa_la_ukweli_tanzania01
TikTok
@kanisa.la.ukweli
YouTube
@MchungajiShujaa-id8is